BAB TALE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Hamisi Shaban aka ‘Bab Tale’.

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

MENEJA wa Kundi la Tip Top Connection na Diamond Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, amefiwa na baba yake mzazi leo.
Mzee Taletale wakati wa uhai wake.
Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi, Ameen

Msiba huo umetokea ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu Bab Tale afiwe na mdogo wake ambaye alikuwa mwanzilishi na meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale.
Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment