DIAMOND PLATNUMZ NA TIMU YAKE YA WCB WATEMBELEA UBALOZI LONDON { PICHA}

Msanii Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akiwa kaongozana na meneja wako pamoja na wasafi dances walipata fursa ya kumtembelea balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kalage kwenye ofisi za ubalozi huu
Diamond na vijana wake wakiiingia kwenye office za Ubalozi

WCB ndani ya mjengo

Mhe Balozi akimkaribisha DiamondDiamond nae akimshukuru Mheshimiwa Balozi kwa mwaliko wake Diamond Akitia saini Kitabu cha wageni


Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment