Maalim Seif Akitembelea Sehemu Zilizopata Maafa Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mvua katika shehia za Mwanakwerekwe, Jang’ombe na Kwahani.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Sheha wa Shehia ya Kwahani Bw. Nassir Ali Kombo, baada ya kutembelea maeneo yaliyoathirika na mvua katika shehia hiyo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dkt. Khalid Salum, akimuonyesha Maalim Seif maeneo yaliyoathirika na mvua huko Mwanakwerekwe.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitoa maelekezo, wakati akitembelea maeneo yaliyoathirika na mvua katika manispaa ya Zanzibar. 
(Picha na Salmin Said, OMKR)

TUKIWA BADO TUKO NA MATUKIO YA MAFURIKO ZANZIBAR
Chama cha wananchi CUF leo hii jioni imekabidhi msaada wa Shilingi Milioni 15 kuwasaidia watu waliopata athari mbali mbali kutokana na maafa ya mafuriko.Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment