MANNY PACQUIAO AFUNGULIWA MASHITAKA $5 MILLION ( Video )

Inasemekana watu wawili wamemfulia kesi Manny Pacquiao  kwenye mji wa  Nevada baada ya kutuhumiwa uongo juu ya kuumia bega kabla Pambano lake  dhidi ya Floyd Mayweather  Las Vegas usiku wa kuamkia Jumapili 2.05.2015
Hiyo hapo chini ni Pacquiao pre-fight questionnaire ambayo inaonyesha yeye hakuwa wazi kuhusu kuumwa na bega 

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment