New Video | Ruby - Na Yule [Official Music Video]

Hii ndio nyimbo inayoshikilia number moja kwenye moyo wangu katika nyimbo zote za Bongo flava , sikiliza na wewe  kwa makini utajuwa nini nakiongelea, Hongera sana Ruby kwa kazi nzuri na najitangaza rasmi kuwa mimi ni mmoja wa shabiki wako
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment