TASWIRA MBALI MBALI ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO


 Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa jijini Dar, imepekea baadhi ya njia kufungwa kutokana na wingi wa maji kwenye baadhi ya madaraja, hali iliyopelekea kuwepo kwa msongamano mkubwa la magari kama ionekanavyo pichani hapa katika Barabara ya Azikiwe, kutokea kwenye kipita shoto cha Askari.

 Mjini leo hakuna kutoka, maana foleni ni kila kona.
 Azikiwe hiyo.
Mzee wa Feva kaamua kukaa kando, maana hakuna hata anaetaka kumsikiliza.
 Barabara ya Ohio street nako mambo ni kama hivi.

Picha zote Kha hisani ya Michuzi Media Group

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment