January Makamba Kuchukua Form ya Urais Leo Mjini Dodoma.

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Baada ya Kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Leo saa tano atachukua form ya kugombea urais Urais mwaka 2015  Mjini Dodoma.
Share on Google Plus

About FOOT BASE

FOOT BASE is an online TV that specializes on Football Highlights, Live Streaming and Transfer Rumours all over the world.

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment