KINANA AINGIA NYANG'HWALE KUENDELEA NA ZIARA YAKE MGOANI GEITA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili  kwenye Ofisi ya CCM Kata ya Bukwimba, wilayani Nyang'hwale, kuanza ziara katika wilaya hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Geita, leo
 Katibu Mkuu wa CCM Andulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi jengo la Ofisi ya CCM Kata ya Bukwimba, wilaya ya Nyang'hwale, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Geita, leo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kufukia mtaro wa bomba la mradi wa maji safi katika katika Kijiji Cha Bukwimba, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita, leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini mbunge wa Nyang'hwale Hussein Kasu aliyekuwa akisalimia wananchi katika Kijiji cha Nyakwasi, kabla ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kushiriki kuongesha mifugo katika josho la ushirika, katika kijiji hicho leo.
 Wananchi katika Kijiji cha Nyakwasi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana alipowasili kwenye Josho la Ushirika wa wananchi wa Kijiji cha Nyakwasi, kushiriki uogeshaji vifugo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na Uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita leo.
 Katibu wa NEC, tikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitazama josho la ushirika wa wafugaji wa Kijiji cha Nyakwasi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika kuzhiriki uogeshaji mufugo kwenye josho hilo leo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama wilayani Nyang'hwale mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumzana wananchi alipowashutubia kabla ya kushiriki uongeshaji mifugo katoka josho la ushirika wa wafugaji wa kijji cha Nyakwasi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama wilayani Nyang'hwale mkoani Geita.
 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki uongeshaji mifugo katika josho la ushirika wa wafugaji katika kijiji cha Nyakwasi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngang'hwale mkoani Geita.
 


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpeleka mbuzi kwenye josho hatua kwa hatua aliposhiriki uongeshaji mifugo katika josho la ushirika wa wafugaji katika kijiji cha Nyakwasi, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngang'hwale mkoani Geita.
 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa Kina Mama wa kusanga na kukoboa, katika Kijiji cha Nyamgogwa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya CM na Uhai wa Chama katika wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasha mashine ya kusaga na kukoboa wakati alipozindua mradi huo
 Wananchi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinana aliwasili kuwahutubia katika Kijiji cha Busolwa wilayani Nyang'hwale mkoani Geita leo
 Katib Mkuu wa CCM Anbdulrahman Kinana akitazama tikiti alipotembelea shughuli za kina mama wajasiriamali wa  Nyang'hwale mkoani Geita leo
Katibu Mkuu wa CCM na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakitoka kukagua ujenzi wa hopitali katika kata ya Kharumwa wilayani Nyng'hwale mkoani Geita
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment