Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Mwakilishi wa Kikwajuni Mhe Mahmoud Mohammed Mussa akichangia Bajeti ya Wizara ya Fedha jana.
Watendaji wa Wizara ya Fedha Zanzibar wakifuatilia michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wakichangia Bajeti ya Wizara ya Fedha 
Maofisa wa PBZ wakifuatilia Michango ya Yajumbe wa Baraza jana wakichangia Wizara ya Fedha


Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho akitoka Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa jana mchana


Mhe Marina Thomas akitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara ya Fedha jana
Waheshimiwa wakihamisha makabrasha yao kujiandaa kwa ufungaji wa Baraza unaotegemewa kufanyika Ijumaa mchana.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment