MAPOKEZI YA MH JANUARY MAKAMBA JIJI LA MWANZA AKISAKA WADHAMINIMh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini katika jiji la  Mwanza kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Loth Olemeint.
Mbunge wa Bumbuli January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifulika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.
Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa atakae Teuliwa.
Kwa upande mwingine Mh January amesema kuwa anamajibu ya kiuchumi katika Jiji la Mwanza na endapo akifanikiwa kupata nafasi hiyo atabadilisha uchumi wa jiji la Mwanza kwa kutumia lasiri Mali za jiji hilo la Mwanza. Picha zote na John Sambila


Msafara wa Pikipiki ukimpokea January Makamba Kuelekea Ukumbi wa Nyanza.Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini Kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana Elius Mpanda.


Umati wa wakazi wa Mwanza waliojitokeza kumpokea Mh January Makamba.Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment