Matukio ya Ufungaji wa Baraza la Wawakilishi Jioni hii na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein.


Katibu Mkuu wa Chama cha TADEA Mhe Juma Tedea akiwasili katika  viwanja vya Baraza la Wawakilishi kuhudhuria Ufungwaji wa Baraza hilo na Rais wa Zanzibar. 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Balozi Ali Karume akiwasiki katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Mhe Yahya  Khamis Hamad wakibadilishana mawazo wakimsubiri Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuwasili katika viwanja vya Baraza kuhudhuria Ufungaji wa Baraza jioni hii.
    Mhe Mahmoud Thabit Kombo akiwahi kuhudhuria hafla ya ufungaji wa Baraza la Wawakilishi.
          Mhe Jaku akiwasili katika viwanja vyav Baraza kuhudhuria hafla ya ufungaji wa Baraza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya Ufungaji wa Baraza baada ya kumaliza muda wake 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame, alipowasili katika viwanja vtya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho,alipowasili katika viwanja vya Baraza kwa ajili ua ufungaji 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea saluti wakati wa hafla ya ufungaji wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika viwanja vya jengo la Baraza jioni hii.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikagua bwaride maalum la Jeshi la Polisi Kikosi cha FFU, wakati alipowasili kwa ajili ya kufunga Baraza la Wawakilishi Zanzibar baada ya kumaliza muda wake.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimaliza kukagua Bwaride rasmin lililoandaliwa kwa ajili yake katika hafla ya Ufungaji wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar leo jioni.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment