New Video: Q-Chilla ~ For You

Q-Chilla baada ya kuwa kimya kwa Muda Mrefu na Pia mambo yake Kubadilika, Sasa amerudi tena katika Muziki na Safarii hii ameamua kufanya kazi yaani Muziki Biashara, Akizungumza wakati wa kupreview video yake Mpya ya For U amesema kuwa kwa sasa amerudi rasmi katika Muziki na Amebadilika Tofauti na Mwanzoni alivyokuwa pia ametoa Shukran Nyingi sana kwa QS ambaye anasimamia kazi zake za kimuziki kwa sasa, Video ya For You imefenywa na Director Adam Juma Nchini Afrika ya Kusini, Kwa Upande wa Adam amesema kuwa Video hii ameifanya kwa mapenzi na ameomba wasanii kuthamini vitu vyao vya nyumbani na ameahidi kufanya kazi na msanii yeyote ambaye atakuwa tayari kikubwa kazi iwe nzuri. Angalia video hii ya Q Chilla For You au MdogoMdogo kisha kama unacomment yeyote unaweza kuacha hapo chini....
d
Share on Google Plus

About John Sambila

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment