TBL FAMILY DAY ILIVYOFANA BAHARI BEACH DAR

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiandika majina ya watoto waliofika pamoja na wazazi wake kwa ajili ya kuwapatia zawadi wakati ya sherehe ya siku ya familia ya TBL iliyofanyika kwenye ufukwe wa bahari beach, dar es salaam juzi.
 Ofisa Uhisano wa TBL, Dorris Malulu akiwa na mumewe wakipata mlo
 Wakipata chakula wakati wa siku ya familia

 Watoto wa wafanyakazi wa TBL wakiogelea wakati wa siku ya familia

 Wafanyakazi wa TBL NA FAMILIA ZAO WAKICHEZA MUZIKI
 Mabalozi wa Bia mpya ya Twist wakiwasili kwa boti katika hafla hiyo


 Mabalozi wa Bia mpya ya Twist wakiselebuka kanda ya bahari ya Hindi baada ya kushuka kwenye boti iliyowaleta kwenye ufukwe wa Bahari Beach, Dar es Salaam kushiriki siku ya familia ya Kampuni ya Bia tanzania (TBL)


 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakicheza muziki kando ya ufukwe wa bahari beach, dar es salaam wakati wa sherehe ya siku ya familia ya TBL.
Msaani mwenye vimbwanga katika sanaa ya maigizo na sarakasi, Emsi Amani wa kundi la Sanaa la Bantu Acrobatics akionyesha uwezo wake wa kucheza na jukwaa wakati wa siku ya familia ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment