Wema Sepetu Interview Part IV kuhusu Mtoto na Diamond, ujauzito wa Zari, alivyotoa mimba

Hiki ni kipisi cha nne na cha mwisho cha Mahojiano aliyofanyiwa Mwigizaji Wema Sepetu kwenye TV show ya TAKE ONE CloudsTV ambapo hapa ameongelea mengine ya yeye kukosa Ujauzito, jinsi alivyotoa Mimba akiwa na Kanumba, Diamond kutaka mtoto na mengine.
Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment