Yamoto Band wakwea Pipa kwenda SA kufanya Video na Godfadher

 Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella  kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO

Share on Google Plus

About John Sambila

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment