Dk Shein Afutarisha Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ikulu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi wengine katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,
Wananchi na Waislamu wa Mkoa Mjini Magharibi wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Wananchi na Waislamu wa Mitaa mbali mbali katika Mkoa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na wake wa Viongozi wakati wa futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini
Akinamama wa Mkoa wa Mjini magharibi wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Uguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Wananchi baada yafutari waliyoitayarisha jana kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi waliohudhuria katika futari waliyowaalika jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Ungu baada ya kumalizikakwa futari hiyo,
[Picha na Ikulu.]

Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment