DKT SHEIN APOKEWA ZANZIBAR KWA KISHINDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu na Kijana Chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivalishwa Skafu na kijana chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma akiwa na Mumewe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee wa CCM alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,
Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein waliojitokeza katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali waliojitokeza katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,
Hivi ndivyo walivyokuwa wanachama na wananchi wapenda amani kwa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi ya CCM Kisiwandui akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,
Umati wa Wanachama wa CCM na Wananchi wapenda amani waliojitokeza kwa mapokezi makubwa ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,
Umati Mkubwa wa Wanachama wa CCM na Wananchi wapenda amani waliojitokeza kwa mapokezi makubwa ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Wazee wa CCM walipofika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo wakitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi na wazee wa CCM wakimuombea dua marehemu Mzee Abeid karume katikakaburi lake huko Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM, 
Wananchi na wanachama wa CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Unguja akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugombea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM, 
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment