DODOMA ILIVYOKUWA

 Waandishi wa Habari wakiwahi kuingia ukumbini kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum cha CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu maarufu kama White House.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Martine Shigela muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum mjini Dodoma.
 Hivi ndivyo nje ya jengo la CCM Makao Makuu ,Wajasiriamali kwa wingi wao wamekuwa wakifanya bishara za bidhaa zao kwa wana CCM waliokuja kuhudhuria Mkutano Mkuu mjini Dodoma.

Magari yaliobeba wajumbe yakiingia Dodoma
 Usalama ukiwa umeimarishwa kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Waandishi wa Habari wakisubiri habari nje ya jengo la mikutano maarufu kama White House.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment