DOGO AJITOSA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KORONGONI MOSHI MJINI

Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chini

Dogo akiwa na wanachama hicho

Msafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.

Hapa ni furaha tupu.

Dogo akiwa na vijana wa chama hicho.

Akisaini wakati akichukua fomu.

Hapa ni ushindi tu.


Msafara huo kurudisha fomu.

Ni alama ya vidole viwili chadema .Ni furaha tu kwa kwenda mbele.
Dogo ndani ya mchuma akienda kurudisha fomu.

Ni kama wanasema ushindi ni lazima.

Msafara huo wa kwenda kurudisha fomu.

Dogo akipongezwa na vijana wenzake.

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment