KUELEKEA UCHAGUZI 2015: UKAWA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI (VIDEO)


Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia  akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)


Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment