MGOMBEA NAFASI YA URAIS KUPITIA CCM, BALOZI AMINA ALI SALIM AZUNGUMZA NA WANAHABARI ZANZIBAR

Mgombea Nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Balozi Amina Ali Salim akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar kuhusiana na Nia yake ya kugombea nafasi hiyo na majukumu atakayoyatekeleza endapo atapata ridhaa ya Chama chake kumteuwa kugombea nafasi hiyo.
Balozi Amani akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar leo asubuhi.
 Waandishi wakifuatilia mkutano wao na Balozi Amina akizungumzia malengo yake.
Waandishi wakiwa makini kumsikiliza Balozi Amina. 
Kwa hisani ya ZanziNews
Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment