Obama na Rais Uhuru Kenyatta watofautiana juu ya haki za mashoga.

Marais wa Marekani na Kenya wametofautiana kwa kiasi kikubwa katika hisia zao juu ya haki za mashoga katika mkutano na waandishi wa  habari ulifanyika jana jijini Nairobi
Wakati Rais Obama akilitilia mkazo wa nguvu suala la ubaguzi kwa jumla na madhara yake kwa jamii,
Rais Uhuru Kenyatta alisema Kenya bado hawapo tayari kutokana na maadili, mila na desturi zao suala la haki za mashoga halitokubalika na halina nafasi kwenye jamii yao.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment