Saidi Fella Achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kilungule


Kiongozi wa Kundi la TMK wanaume na mkurugenzi wa kituo cha mkubwa na wanawe, Saidi Fella leo amechukua fomu ya kuomba kugombea udiwani katika kata yake ya Kilungule Temeke,

Saidi Fella ameamua kuchukua fomu hiyo na kugomea nafasi hiyo ili aweze kutatua kero za wakazi wa kata ya Kilungule na kuleta maendeleo katika Kata hiyo.

"Nimeamua kuchukua nafasi hii ili kutatua kero za kata yangu, hapa kuna shida ya maji na barara naamini nikiwa Diwana nitaweza kuonana na wakubwa wa nchi uso kwa macho na kuweza kuelezea shida za kata yangu, chamsingi ni kuleta maendeleo" Alisema Saidi Fella.
  Picha zaote na Harakati za Bongo


Katibu wa Siasa na Uwenezi kata ya Kilungule, Juma ally kilindo Akimkabidhi fomu ya Kuomba kugombea udiwa Saidi Fella.
Saidi Fella akisaini kitabu cha wageni mara alipofika katika Ofisi za Kata ya Kilungule wilaya ya Temeke.
Saidi Fella akitia Saini mara Baada ya kuchukua fomu katiaka Ofisi za Kata ya kilungule wilaya ya Temeke.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment