WAHUNI WAMTENGENEZEA NAPE AKAUNTI FEKI KUJARIBU KUKIDHI KIU YAO

Kitengo chaMawasiliano na Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi, kinapenda kuujulisha uuma kwamba Akaunti yenye maneno hayo hayo hapo juu siyo ya Katibu wa NEC, Itikadi na Unezi Nape Nnauye, bali akaunti hiyo imetengenezwa na watu ambao tunaweza kuwaita kuwa ni wahuni kwa lengo la kutaka kukata kiu ya wanachojitaji. Mtakaoisoma taarifa hiyo eleweni kuwa si maneno ya Nape. Tabia hiyo siyo ya kiungwana na ya kimaadili katika matumizi ya mitandao ya Kijamii, ni vema wanaopenda tabia hii waiache kwa manufaa ya Tanzania
-- 
Bashir Nkoromo
Blogger & Senior photojournalist
UHURU PUBLICATIONS LTD
 (Publishers Of Uhuru,Mzalendo&Burudani tabloids)
  Dar es Salaam, Tanzania 
  Cell: +255 712 498008,
           +255 789 498008,
           +255 756 646131
          E-mail: nkoromo@gmail.com 
          BLOGG: theNkoromo Blog   

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment