FLAVIANA MATATA SENDOFF


CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’
Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesa nesa
   
MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA

MADAMEEE DIANA AKITUMIKA
HATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI MTARAJIWA AKAZAMA UKUMBINI
Tukio Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show
Bi harusi mtarajiwa wakati akimsaka WAubani akajaa tumpe password aliko
MENGINEEEE TUWAACHIE BABA NA MAMA…… YASHINYANGA YALIBAKI SHINYANGA
 
Picha zote kwa hisani ya: www.8020fashionsblog.com

Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment