JK AONGOZA KIKAO CHA NEC KWA SIKU YA PILI KUPATA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein wakati akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
 Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia), Mgombea Urais mteule kwa tiketi ya CCM, John Magufuli na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakifuatilia mambo mbalimbali, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.
 Wajumbe wa NEC, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo, Sophia Simba, wakijadili jambo kabla ya kikao cha NEC, kuanza leo katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Wajumbe wakiperuzi makabrasha, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali
 Wajumbe wakiperuzi makabrasha, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali
 Wajumbe wakiperuzi makabrasha, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiendesha kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), leo Agosti 13, 2015, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete apilokuwa hajawasili umbini. Pamoja naye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 Wakuu wa vyombo vya habari vya CCM, Angel Akilimali (Uhuru FM) na Ramadhani Mkoma Uhuru Publications Ltd), akiwa ukumbini wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kikiendelea katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma leo Agosti 13, 2015.
Ofisa wa CCM, makao Makuu, Edward Mpogolo (kulia) wakitazama majina yanayopitiwa na wajumbe wa NEC, wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kikiendelea katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma leo Agosti 13, 2015. Picha zote na Bashir Nkoromo,
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment