Kiwanja cha kufurahishia watoto PEMBA, kufunguliwa rasmin tarehe 26/08/2015

 WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, wa pili kutoka kushoto, watatu ni Afisa Mdhamini Wizar ya Fedha Pemba Bakari Haji, wakitabasamu na viongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar, mara baada ya kuridhika na hali ya kiwanja hicho kilivyofikiwa pamoja na kujaribiwa kwa pembea hizo.
 WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, akifunga mkanda mara baada ya kupanda ndege zilizomo ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi Chake Chake Pemba, kiwanja hicho ambacho tayari kimeshakamilika kwa asilimia 95%.
 WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, akiwa ndani ya Pembea pamoja na Mwenyekiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) DK. Suleiman Rshid Mohamed, wakati alipofanya ziara ya siku moja ya kuangalia maendeleo ya kiwanja hicho.
 PEMBA aina ya wanda alikizunguruka huku viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwemo huko, wakiongozwa na waziri wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee.

 WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, akiendesha kigari, moja ya pemba zilizomo ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi kisiwani Pemba, baada ya kukagua pemba hizo na kuridhika na hatua iliyofikiwa.
WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, akiwa amepanda farasi ni moja ya Pembembea zilizomo ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Chake Chake, kulia kwakwe ni Mwenyekiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) DK. Suleiman Rshid Mohamed, wakati alipofanya ziara ya siku moja ya kuangalia maendeleo ya kiwanja hicho.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment