Kumbukumbu ya miaka kumi ya Bi Subilaga Kisyala (2005-2015)

FAMILIA YA ELIABU MWISA INAKUMBUKA MIAKA KUMI (10) TANGU KUTOKWA NA MAMA MPENDWA SUBILAGA KISYALA (2005-2015)

SASA ni miaka kumi Tangu alipo tutoka mpendwa wetu Subilaga Kisyala mwaka 2005 Agosti Familia, Ndugu, na Jamaa tutakukumbuka Daima Kwa mema uliyo tutendea ulupo kuwa hai, Alizaliwa mwaka 1968 na kufariki 2005 

Mpendwa wetu uliondoka na kuacha Baba na watoto wake Watano walio kuwa bado wanahitaji huruma na upendo wako, Daima hautafutika katika akili zao hakuna kama mama hakika upendo wa mama katika maisha ya kila siku unahitajika sana,

Wanapo sema kila alipo Mama mmoja kuna mafanikio hilo halipingiki utakumbukwa kwa yale mengi uliyo yafanya kabla huja funga macho yako milele.

Uliwaacha watoto wako Heri, akiwa anajitegemea Furaha (Ayubu) akiwa kidato cha kwanza, Godfrey (Kelvin) akiwa shule ya msingi, Nehemia akiwa Shule ya msingi, Na Grades msichana pekee katika familia, akiwa hajaanza hata shule na akiwa na miaka minne na sasa kidato cha kwanza, watoto hawa bado walikuwa wanahitaji upendo wako.

Daima Fanilia yako na watoto wako watakukumbika milele.

WE WILL MISS U FOREVER

Mungu akuweke mahara pema peponi Subilaga (2005-2015) 


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment