Mgombea Ubunge Jimbo la Fuoni Mfalme Mzee Yussuf

 Mgombea Ubunge jimbo la Fuoni Zanzibar Mzee Yussuf akisalimiana na Makada wa CCM nje ya jengo hilo baada ya kumalizika mkutano wa Mikoa minne ya Unguja kutoa Tamko rasmin dhidi ya Waziri Mkuu Mstaaf Lowassa kwa Wana CCM 
Mgombea Ubunge jimbo la Fuoni Mfalme Mzee Yussuf akizungumza na Mwenyekiti wa Wilaya ya Amani Abdi Ali Mzee Mrope baada ya kumalizika kwa mkutano na waandishi wa habari kuwasilisha Tamko la Mikoa Mnne ya CCM Unguja kuhusiana na Mhe Lowassa 
Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment