RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment