Video: Mh Magufuli Akipiga Tumba na Mh JK akicheza na Wasanii katika Hafla Maalum ya kumuaga iliyoandaliwa na wasanii

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akipiga ngoma huku akishirikiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga gitaa ndani ya ukumbi wa mlimani City jijini Dar.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment