JK NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAUTEKA MJI WA MOROGORO KWA MKUTANO WA KIHISTORIA WA KAMPENI

 Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. John Pombe Magufuli
 Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Sehemu ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni
 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwasili kwa shangwe katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni
 Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao. 
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.
 Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zake
   Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubi maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.

Mmgombea Urais  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.John Magufuli amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu mwaka huu ,Serikali yake itashusha bei ya vifaa vya ujenzi hasa bati na saruji. Dk.Magufuli alitoa kauli hizo leo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Mkamba.Ruaha.Mikumi,Kilosa mjini pamoja na Morogoro mjini ikiwa ni sehemu ya kuomba ridhaa ya kuomba kichaguliwa urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Alisema kuwa serikali yake inataka kurahisisha maisha ya watanzania wote na hivyo atapunguza bei saruji na bati na hilo litafanikiwa kwa kupunguza ushuru wa vifaa hivyo."Serikali ya Magufuli nataka iwe ya kurahisisha maisha ya wananchi wake.Moja ya mambo ambayo ninedhamiria kuyafanya ni kupunguza bei ya bati na saruji.Nataka kuona watu wanajenga nyumba nzuri na za kisasa, hivyo lazima tushushe bei ya vifaa vya ujenzi,alisema Dk.Magufuli.

Aliongeza kasi ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka hiyo anaiweza na anaomba wananchi wamuamini na ameomba urais kwa ajili ya kufanya kazi tu huku akieleza wapo ambao wanaosema anafanya siasa wajue yeye si mwanasiasi.''Nataka kuwa Rais wa Tanzania na si uwenyekiti .Dhamira yangu ni kuwatumikia watanzania kwa kuleta maendeleo yakiwemo ya kuwa na makazi bora.

"Natambua nchi yetu ni tajiri sana na sasa utajiri huo utumike kuleta maendeleo ya wananchi na hili linawezekana kwenye serikali ya awamu ya tano," alisema Dk.Magufuli.Alisema rasilimali za nchi hii zitumike kuleta maendeleo na ndio maana anataka nafasi hiyo kwa ajili ya kusimamia maendeleo ya wananchi wote.Wakati huo huo,Dk.Magufuli aliwataka wananchi kumchague yeye awe Rais kwa sababu hana tamaa ya fedha na ndio maana amaweza kusimamia vema fedha za wafadhili ambazo zilitumika kwenye ujenzi wa barabara.

Kwa upande mwingine alisema atasimamia amani ya nchi kwani ndio msingi wa maendeleo ya taifa letu na kuongeza shida ya watanzania si vyama vya siasa bali ni maendeleo yao.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Morogoro mjini,Mh Azizi Abbod mbele ya maelfu ya wananchi (hawapo pichani) kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.
 Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akiteta jambo na Kada maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro
  Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akizungumza jambo na  mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro.
 Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Kada maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro,pichani kati ni mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akishuhuhudia tukio hilo.

 Wananchi wa kata ya Kimamba wakiwa wamekusanyka kwa wingi wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akijinadi kwao na kuomba ridhaa ya kuonza Tanzania katika awamu ya Tano.

 Wabunge wa majimbo ya mkoa wa Morogoro wakiwa katika mkutano huo wa kampeni wa mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Sehemu tu ya wapiga picha wakirekodi matukio  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM
 Vijana wa CCM  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM
  Vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM
 Wasanii nyota  vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM
 Wasanii
  Sehemu ya wasanii vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuf Makamba katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  na Mama Salma Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  wakimpongeza Mzee Yusuf Makamba katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mzee Yusuf Makamba  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete akiongea na gharika ya wananchi wakati akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete akimpa tano mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Rais Kikwete akimnadi  mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimia gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia  gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Meza kuu wakati Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimia gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Ni shangwe tupu wakati mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Rais Kikwete akijiunga na kunyoosha mkono juu kwa mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  sambamba na gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akimnadi mbunge wa Morogoro Mjini Mhe Mohamed Aboud mbele ya  gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

  Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akimnadi mgombea Ubunge wa Morogoro vijijini Mhe Prosper Mbena  mbele ya  gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

   Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwanadi wagombea  Ubunge wa Morogoro  mbele ya  gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akimshukuru mbunge wa zamani Mama Jitto Ram ambaye pamoja na kuugua alifika  Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akipongezwa na mama Salama Kikwete baada ya kuhutubia   gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
  Rais Kikwete akiwa na mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli, Mzee Yusuf Makamba na mgombea ubunge Morogoro mjini Mhe Mohamed Aboud mbele ya   gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Rais Kikwete akiongea na wagombe ubunge vijana wa mkoa wa Morogoro
 Rais Kikwete akisalimiana na mjukuu wa Chifu Kingalu
 Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa viongozi wa UWT wakati alipowasili kuhudhuria ufungaji wa mkutano wa semina ya Umoja wa Wanawake hao wa CCM baada ya mkutano wa kampeni
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashatiki Mhe Semindu Pawa
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Wazazi wa CCM Taifa Mhe Abdallah Majula Bulembo

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mwigizaji Steve Nyerere
Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM wakishangilia kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya mkutano wa kampeni

 Rais Kikwete na mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakishangilia pamoja na Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM  kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM wakishangilia kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Meza kuu wakifurahia wimbo wa Kisukuma na wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Rais Kikwete akihutubia na kufunga mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Mfasiri akiwafasiria wana CCM wenye ulemavu wa kusikia wakati Rais Kikwete akihutubia na kufunga mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Rais Kikwete akihutubia na kufunga mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
 Sehemu ya wajumbe
 Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM wakishangilia wakati wa  kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM wakati wa  kufungwa kwa mkutano huo mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM wakati wa  kufungwa kwa mkutano huo mara tu baada ya mkutano wa kampeni
 Rais Kikwete akiwa na msanii Keisha
 Rais Kikwete akiwa na Amina Mollel na msanii Keisha
 Rais Kikwete na mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakikata utepe kabla ya kukabidhi magari kwa ajili ya ofisi za UWT nchi nzima
Rais Kikwete akikabidhi moja ya magari ambayo UWT imenunua kwa ajili ya ofisi za UWT nchi nzima
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment