KAMPENI ZA DK MAGUFULI ZATUA UWANJA WA NYUMBANI CHATO

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo lake la Chato, wilayani Chato, Geita lmuda huu.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mke wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Janeth Magufuli alipowasili yeye na mumewe kwenye mkutano w3a kampeni mjini Chato muda mfupi uliopita.
 Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi mjini Chato muda
 Msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia ccm, Dk Magufuli ukipita karibu na taa za kuongozea magari mjini Chato ukitokea nyumbani kwa mgombea kwenda kwenye mkutano w3a kampeni mjini Chato muda mfupi uliopita.
 Moja ya mabango yaliyopo katika mkutano huo
Sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano huo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment