Muwekezaji Mzalendo Mzanzibari Ajenga Jengo la Skuli ya Kisasa Zanzibar

 Muonekano wa Skuli ya Kisasa inayojengwa na Mzanzibar kwa ajili ya kutoa Elimu ya Maandalizi,Msingi na Sekondari likiwa katika ujenzi wake na linategemewa kumalizika hivi karibuni na kutowa Elimu ya kiwango cha juu kwa Wanafunzi watakaom jiunga na Skuli hiyo. Kama linavyooneka jengo hilo likimalizika ujenzi wake unaoendelea kwa kasi kuweza kutowa Elimu mwishoni mwa mwaka huu.
Ujenzi wa Skuli hiyo ukiendelea na ujenzi wake katika eneo la Kijichi Zanzibar litatoa Elimu ya Maandalizi Msingi na Sekondari, Linategemewa kumalizika ujenzi waki hivi karibuni na kupokea Wanafunzi na kuaza na masomo mwakani hii ni sehemu ya mbele ya jengo hilo lenye hadhi ya kimataifa. 
                                            Muonekano wa jengo hilo kwa nyumba

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment