MISSY T AMPONGEZA DIAMOND KWA KUMPELEKA DINNER VIRGINIA

Miss Temeke (wapili toka kushoto) akiwa na Diamond na meneja wake Babu Tale (kulia) kwenye chakula cha jioni siku ya Jumanne Octoba 13, 2015 kwenye mgahawa Virginia. Missy T alimpeleka Dinner Diamond na meneja wake Babu Tale kwa kumpongeza masanii huyo kwa kuweza kunyakua tuzo tatu kwenye AFRIMA Awards zilizofanyika wiki iliyopita jimbo la Texas. Wengine waliokuwepo kwenye chakula hicho cha jioni ni Seif Ameir na Mkewe Bi. Nargis akiwemo Mume wa Miss T Bwn. Mohamed Matope. Diamond na meneja wake walisimama Dulles kwa saa kadhaa wakiwa njiani kuelekea nyumbani Tanzania.
Diamond, Seif na mkewe Bi Nargis wakiendelea na chakula cha jioni.
Miss T akipata ukodak moment na Diamond
Meneja wa Diamond, Babu Tale
Missy T na timu yake wakiwa katika picha ya pamoja na Diamond huku wakiwa wameshika tuzo zake.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment