OJOJOO HAIR FOOD AND HAIR SERUM AVIALABLE AT ZURII HOUSE OF BEAUTY.

KILA MTU SASAHIVI HANA MBA HANA KIPILIPILI NYWELE MPAKA BEGANI OJOJOOO NDIO HABARI YA MJINI KILA MTU ANAJIKUTA ANA NYWELE NDEFU KAMA MUHINDI😂😂😂WEWE UNANGOJA NINI??WALE WENYE SALON JAMANI MUWEKEE MTEJA KITU KILICHO BORA
.
.

#OJOJOO mafuta na serum ya kukuza na kujaza nywele kwa haraka sana. 
♦️Mafuta rejareja elfu 60,000
Jumla elfu 45,000 kuanzia kopo 6 
. ♦️Serum rejareja elfu 30,000 
Jumla elfu 15,000 kuazia chupa 6
🔹Yanafaa nywele zenye dawa na zisizo na dawa. 🔹Yanafaa kwa wanaume, wanawake na watoto. 🔹Kiboko ya mba na tatizo lolote lile la ngozi. 🔹Yanajaza sana nywele na kwa uharaka zaidi 🔹Nywele zinakuwa nzito na laini 🔹Nzuri sana kwa watoto maana hulainisha nywele na kuzipa urahisi wa kuchana. 🔹 Husaidia kurudisha nywele zinazotoka kisogoni .

🔹#OJOJOOSERUM inasaida zile problem areas kichwani. Mfano kwa wale mnaopenda sana kusuka rasta unakuta nywele huku mbele zinakuwa weak au zinakatika sana hii #OjojooSerum husaidia kurudisha nywele zako na kuziimarisha pale zinapo anza kukua.
🔹Pia husaidia sana mataizo sugu kama vile mba, mapunye na issue zingine huko kichwani. 🔹Hii serum unaweza changanya kwenye mafuta yako ya #Ojojoo na kuacha nyingine ambayo unakuwa unatumia mara kwa mara kwenye zile problem areas.

Mafuta ya #OJOJOO na serum yake yanapatikana ⏩⏩⏩⏩
.
.
▶#ZuRiiHouseOfBeauty Dar Free Market Mall, 1st Floor, Shop No F4, Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi Road, near the Embassies of Kenya and France. Call or whatsapp📱 +255 65 918 9769 na
.
▶@malojibeautyspot pale Kijitonyama Sayansi kama unaenda Collabus Hotel opposite na Sofan Bar wasilana nao kupitia +255 762 617 865.
.
. ♦️Kwa wale wa Dar tunafanya delivery popote pale ulipo kwa bei nzuri.
♦️Mkoani pia tunatuma mizigo kwa gharama nafuu. 
Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment