TUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWALI KWA MAJIMBO MATATU YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza majimbo matatu ya awali ya uchaguzi leo katika Ukumbi wa Mwalimu nyerere ambayo ni Paje, Makunduchi pamoja na Lulindi
  
ENDELEA KUWA NASI ILI UPATE MATOKEO ZAIDI PALE YANAPOTOLEWA NA NEC

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment