VIONGOZI NA WANANCHI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA AMANI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija (kushoto) wakati alipowasili katika kituo cha kupiga kura Skuli ya Bungi msingi wilaya ya Kati Unguja leo,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika foleni ya wapiga kura katika kituo cha kupiga kura Skuli ya Bungi wilaya ya Kati Unguja zoezi ambalo limefanyika leo,(wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija, 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein  akipokea karatasi ya kupigia kura kutoka kwa Afisa  Sibira Ramadhan Iddi katika kituo chakupiga kura Skuli ya Bungi wilaya ya Kati Unguja zoezi ambalo limefanyika leo,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akitumbukiza kura katika kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Bungi msingi wilaya ya kati  Mkoa wa Kusini Unguja, 
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akitumbukiza kura katika kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Bungi msingi wilaya ya kati  Mkoa wa Kusini Unguja,
 Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akitumbukiza kura katika kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Bungi msingi wilaya ya kati  Mkoa wa Kusini Unguja, 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada ya kipiga kura leo katika kituo cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija(kushoto)baada ya kupiga kura katika kituo cha kupiga kura Skuli ya Bungi wilaya ya Kati Unguja zoezi ambalo limefanyika leo,(kulia)Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdalla Ali, [Picha na Ikulu.]
maalim seif
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akipiga kura yake leo kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13, Zanzibar.
maalim seif 2Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akipakwa wino baada ya kupiga kura yake leo.
maalim seif 4
Maalim Seif Sharif Hamad akiinua juu mkono wake baada ya kupakwa wino kuonyesha tayari amepiga kura yake.…
maalim seif
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akipiga kura yake leo kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13, Zanzibar.
maalim seif 2
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akipakwa wino baada ya kupiga kura yake leo.
maalim seif 4
Maalim Seif Sharif Hamad akiinua juu mkono wake baada ya kupakwa wino kuonyesha tayari amepiga kura yake.
maalim seif 3
Maalim Seif akiongea na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kupiga kura.

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, tayari amepiga kura yake kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13 huko Zanzibar.

Mara baada ya kupiga kura yake, Maalim Seif amesema kura yake ni siri yake lakini ana matumaini ya ushindi wa asilimia 72. (Picha Deutsche Welle)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani  kwenye kituo cha kupigia kura  namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR)

 Mgombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Tiketi ya CCM Jimbo la Mahonda ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika foleni ya kusubiri kupiga kura kwenye Kituo chake kiliopo Skuli ya sekondari ya Kitope.
 Balozi Seif akipiga kura ya Kumchagua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Bunge ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kituo chake hapo Skuli ya Sekondari ya Kitope.
 Karani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ambae jina lake halikupatikana akimueka alama Balozi Seif kuashiria kwamba ameshakamilisha zoezi la Kupiga kura ya kumchagua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Mbunge, Mwakilishi na Diwani.

Balozi Seif akizungumza na vyombo vya Habari mara tuu bada ya kumaliza kutumia haki yake ya kupiga kura hapo Skuli ya Sekondari ya Kitope ambapo ndio kwenye kituo chake cha uchaguzi.

 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe: Hamad Rashid Mohamed akisalimiana na wanafamia yake mara baada ya kufika katika kituo cha kupigia Kura Wawi skuli, jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe: Hamad Rashid Mohamed akitia tiki karatasi yake ya kupigia kura mara baada ya kufika katika kituo cha kupigia kura katika skuli ya Wawi, jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe: Hamad Rashid Mohamed akitumbukiza karatasi ya Urais wa Zanzibar mara baada ya kuipigia kura katika kituo cha kupiga Kura Wawi skuli, jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe: Hamad Rashid Mohamed akitumbukiza karatasi ya mgombea Udiwani wadi ya wawi, mara baada ya kuipigia kura katika kituo cha kupigia Kura Wawi skuli, jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe: Hamad Rashid Mohamed akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari mara baada ya kupiga kura katika kituo cha kupigia Kura Wawi skuli, jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.

 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP Mhe:Saidi Soud Saidi, akigongewa muhuri karatasi yake ya kupigia kura na mawakala wa tume ya uchagzui Zanzibar, baada ya kufika katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP Mhe:Saidi Soud Saidi, akitia tiki karatasi yake ya kupigia kura ya kupigia kura baada ya kufika katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment