ALHAJ PROF LIPUMBA AZUNGUMZIA HALI YA KISIASA INAVYOENDELEA NCHINI

Aliyekuwa Mwenyekiti Cuf Taifa, Alhaj Prof. Ibrahim Lipumba akiwa katika ofisi za CUF makao makuu jijini Dar ers Salaam jana ili kuzungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya siasa inavyoendelea nchini.
Aliyekuwa Mwenyekiti Cuf Taifa, Alhaj Prof. Ibrahim Lipumba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) jijini Dar es Salaam jana juu ya hali ya siasa inavyoendelea nchini. 
Aliyekuwa Mwenyekiti Cuf Taifa, Alhaj Prof. Ibrahim Lipumba akiagana na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari makao makuu ya CUF jijini Dar ers Salaam jana juu ya hali ya siasa inavyoendelea nchini.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment