MERU LOGISTICS TANGAZO LA KUSAFIRISHA MIZIGO WIKI IJAYO.

Meru logistics LTD tutaondosha mizigo ๐Ÿ“ฆ๐Ÿ“ฆ ya Next Thursday tarehe 12/11/15. Kwa wateja wetu wote wanaohitaji collection service tuwasiliane before Tuesday 10/11/15 kwenye number zetu +44 1708 554632 or 07506 762065 pia unaweza tembelea www.merulogistics.com. 
Tunatuma bidhaa zote hata Vitu vyenye nembo ya Mripuko๐Ÿ”ฅ(Flammable) kwa mfano Perfumes, Body Sprays n.k. But lazima utujuulishe kuwa mzigo wako una bidhaa hizo.
PIA TUNATUMA VYOMBO VYOTE VYA ELECTRONICS KAMA ๐Ÿ’ป๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ท๐Ÿ“น AMBAVYO VINA BATTERY NDANI YAKE HIVYO TUNAPELEKA BALI VINA BEI TOFAUTI KIDOGO YAKULIPIA HAZARDOUS KWENYE #locallyinvestedgloballyconnected #merulogistics
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment