WIZKID, DIAMOND PLATNUMZ, CHRSITIAN BELLA, FID Q NA WASANII WENGINE WAPAGAWISHA WAKAZI WA DAR

Wizkid akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo.
Akizidi kuwarusha mashabiki.
Diamond Platnumz naye akinogesha onyesho hilo.
...Akinengua na madansa wake.
Christian Bella naye akifanya yake.
Steve Nyerere akimtunza Bella.
Vincent Kigosi 'Ray' naye akimwaga manoti kwa Christian Bella.
Ben Pol akiwarusha mashabiki.
Fid-Q akikamua.
Umati wa watu ukifuatilia onyesho hilo.
Mwanamuziki mahiri kutoka Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun 'Wizkid' jana alizikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliohudhuria katika onyesho lake la Wizkid Live in Dar lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar.
Onyesho hilo pia lilinogeshwa na wanamuziki wakali wa hapa nchini akiwemo Diamond Platnumz, Christian Bella, Fid Q na Ben Pol.
(Picha: Musa Mateja GPL)

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment