Jumauiya ya Wazanzibari Sweden (ZANDIA) Inawatakia Kheri ya Mwaka 2015 ZANDIA

Jumauiya ya Wazanzibar Sweden Inawatakia Kheri ya Mwaka  2016
 
Jumauiya ya Wazanzibari waishio Sweden Scandinavia (ZANDIA) inawatakia wa Zanzibar na wadau wote wanaoitakia Zanzibar neema kheri ya mwaka mpya 2016, Mwenyezi Mungu ijalie nchi yetu amani, upendo, na ushikamano kwa Wazanzibar wote ulimwenguni.
Tunajenga imani kubwa kuwa kuna mwelekeo wa kupatikana muafaka kwenye vikao vinavyoendelea kila siku huko nyumbani, na kuiweka nchi yetu katika Amani na utulivu, ili  kupatikana raisi aliechaguliwa kihalali  katika nchi yetu tuipendayo Zanzibar
Mungu Ibariki Zanzibar na waZanzibari wote Ameen
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment