MAHAFALI YA TATU (3)SHULE YA AWALI YA GOOD SHEPHARD ACADEMY YAFANA JIJINI MBEYA

Baadhi ya walimu wa shule ya Awali ya Good Shephard Academy iliyopo Forest Jijini Mbeya Katika Picha ya Pamoja na watoto walio hitimu masomo yao Kg 3 ambapo sherehe za kuwaaga watoto hao zilifanyika mwishoni mwa wiki  katika Hotel ya JM Mbeya .

Baadhi ya wahitimu katika Picha ya pamoja

Baadhi ya Wazazi walio hudhuria mahafali ya Tatu  katika shule ya Good Shephard Academy jijini mbeya yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Hotel ya JM Forest Mbeya .

Mr and Mrs Gervas Mbuthiah ambao ndio wamiliki wa shule hiyo ya Good Shephard Academy jijini Mbeya wakifurahia jambo katika sherehe za kuwaaga watoto waliomaliza masomo yao ya awali( Kg 3 ) katika Ukumbi wa JM hotel jijini Hapa .

Wazazi waliohudhuria sherehe hizo .

Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo Bi. Aika Temu Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Mbeya akizungumza katika sherehe hizo ambapo alitumia fursa hiyo kuwataka wazazi na walezi kutimiza kikamilifu wajibu wao kwa kuhakikisha wanafuatlia kwa ukalibu malezi ya watoto wao.
Mkurugenzi wa Shule ya Good Shephard Academy Bw. Gervas Buthiah akizungumza katika sherehe hizo zilizofanyika katika Ukumbi wa JM hotel jijini Hapa.

Baadhi ya wazazi na walezi  waliohudhuria sherehe hizo .

Baadhi ya walimu wa shule hiyo katika wakijitambulisha kwa wazazi na walezi waliohudhuria sherehe hizo ambazo zilifanyika katika Ukumbi wa JM mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.


Mgeni Rasmi Bi.Aika Temu pamoja na Mkurugenzi wa Shule hiyo Bw.Gervas Mbuthia wakitoa vyeti wa watoto waliohitimu masomo ya awali katika shule hiyo ya Good Shephard Academy iliyopo Forest jijini Mbeya .

Mtoto Jasmine Madafa akionesha cheti chake alitunukiwa mara baada ya kuhitimu masomo yake ya wali katika shule ya Good Shephard Academy Forest jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.


Watoto waliohitimu Masomo ya awali katika shule ya Good Shephard Academy

Pongezi kutoka kwa ndugu na jamaa kwa mtoto wao mara baada ya kuhitmu masomo ya awali katika shule hiyo.

Mtoto Mpeli Mwamonje akionesha cheti chake cha Masomo ya awali katika shule ya Good Shephard Academy jijini Mbeya .


Wazazi katika picha ya Pamoja na watoto waliohitimu masomo yao ya awali katika shule ya Good Shephard Academy ya jijini Mbeya.

Wazazi katika picha ya Pamoja na watoto waliohitimu masomo yao ya awali katika shule ya Good Shephard Academy ya jijini Mbeya

Pongezi kwa mtoto

PICHA NA (JAMIIMOJABLOGMBEYA )
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment