MISSY TEMEKE ALIVYONOGESHA USIKU WA ANNE KANSIIME

Mbunifu wa vivazi vya KWETU Fashion Missy Temeke (kati) akipata ukodak moment na walimbende wake siku ya Ijumaa Novemba 27, 2015 alipofanya onensho la vivazi vya kampuni yake na kunogesha show ya mchekeshaji maarufu kutoka Uganda Anne Kansiime alipowavunja mbavu wanaDMV katika kusherehekea wiki ya Thanksgiving.
Missy T akimpa tano ya shavu mchekeshaji maarufu anayechukua vichwa vya habari kwa hivi sasa Duniani Anne Kansiime siku ya Ijumaa Novemba 27, 2015 siku mchekeshaji huyo alivyoipagawisha DMV.
Missy T katika picha ya pamoja na Asha Nyang;anyi na Nassibu Sareva kushoto ni mdhamini wa pendo lake kipenzi mume wake Bwn. Mohamed Matope.


Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment