Rais Magufuli Awaongoza Watanzania Kufanya Usafi

magufuliiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli wananchi wakifanya usafi.magufuliRais Magufuli na mkewe, Mama Janeth Magufuli  wakiwa na baadhi ya wananchi wakifanya usafi.
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameongoza Watanzania kutumia Siku ya Uhuru kufanya usafi, yuko eneo la ufukwe karibia na Ikulu akifanya usafi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa naye yuko kwenye soko la Kariakoo akiongoza wafanyabiashara wa soko hilo kufanya usafi.
Ni siku ya kihistoria kwa taifa tofauti na ilivyokuwa imezoeleka kwamba siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania watu huelekea viwanja vya Uhuru kuungana na wengine kuadhimisha siku hii ambapo leo ni miaka 54 tangu uhuru kupatikana,lakini  watu wanafanya usafi kuboresha mazingira ikielezwa ni UHURU na KAZI,ikienda sambamba na kaulimbiu ya Hapa Kazi Tu
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment