VIDEO GANI YA FUNGA MWAKA ILIYOKUKUNA ZAIDI ( DIAMOND PLATNUMZ, OMMY DIMPOZ OR ALI KIBA )

Wakali watatu wa Bongo fleva kwenye funga mwaka ya 2015 wameachia video zao mpya, Alianza Diamond Platnumz na "Utanipenda" akafuatia Ommy Dimpoz na "Achia Body" nae Ali Kiba akishirikiana mkali wa sauti Chritian Bella hivi juzi tu aliachia kibao chake kinachoitwa "Nagharamia" Kama ukiwa mpenzi wa Bongo Fleva ni kichupa cha nani kilichokukuna zaidi na kwanini??
Kama bado huja aamua ni video/nyimbo ipi imekukuna  chukua fursa nyengine ya kuziangalia video zote tatu hapo chini ikisha toa maoni yako
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment