Exclusive: Diamond Platnumz amewaona wanaosema Tiffah sio mtoto wake, anasema nao hapa

Mwimbaji staa wa Tanzania Diamond Platnumz alikutana na mtangazaji wa AMPLIFAYATop 20 za CloudsFM Millard Ayo na kuzungumzia post na comments ambazo amekua akiziona zikisema mtoto sio wake na kwamba akapime DNA, majibu yake yote aliyoyatoa yapo kwenye hii video hapa chini

Credit: Millardayo.com
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment