JK ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI YA UHUSIANO WA KIMATAIFA

 Mkuu wa Chuo Kikuu  Huria cha Tanzania  (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika ana, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi  ya Kinondoni, Dar es Salaam. 
(Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog)

 Mkuu wa Chuo Kikuu  Huria cha Tanzania  (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari  ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi  ya Kinondoni, Dar es Salaam.
  Mkuu wa Chuo Kikuu  Huria cha Tanzania  (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari  ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi  ya Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mkuu wa Chuo Kikuu  Huria cha Tanzania  (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimpongeza baada ya kumhudhurisha Shahada ya heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi  ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Dk. Kikwete akishukuru
Dk. Kikwete akingoka baada ya kuhudhurishwa

 Dk. Kikwete akiwa na Rais wa Chuo Kikuu cha Choson cha Korea, Profesa  Such Chae Hong, ambaye naye pia alitunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari katika Mahahali hayo
 Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa wamesimama kuimba wimbo wa Taifa  baada ya kutunukiwa Shahada zao za Udaktari. Kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro
 Dk. Kikwete na Profesa Such na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro
 Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa  Dk. Asha-Rose Migiro na viongozi wengie wa Chuo Kikuu Huria. Karibu na Dk. Migiro ni Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi
 Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa na Mama salma Kiwete na Dk. Asha-Rose Migiro na baadhi ya viongozi wa OUT
 Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Dk. Asha-Rose Migiro
 Dk. Jakaya Kikwete akimpongeza mmoja wa wahitimu katika chuo hicho mwenye ulemavu wa miguu. 
 Dk. Jakaya Kikwete akimdodosa maswali, mtoto  Novatus Salala (11), ambaye alimuona akimpiga picha kwa simu wakati wa mahafali hayo. Kulia ni Mama Salma Kikwete 
 Dk. Jakaya Kikwete akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu huria w zamani, Dk. John Malecela na Mkuu wa sasa wa Chuo hicho, Dk. Asha-Rose Migiri wakati akiondoka mwishoni mwa hafla hiyo. (Picha zote na Bashir Nkoromo). PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment