JPM AHANI MSIBA WA MAREHEMU LETICIA NYERERE MSASANI JIJINI DAR LEO

Rais John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mama Maria Nyerere na ndugu na jamaa wengine mapema leo January 11, 2016 nyumbani kwa mama Maria Nyerere , Msasani jijini Dar kwa kifo cha(mkwe wake aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CHADEMA bunge la 10 Leticia Nyerere kilichotokea January 10, 2016 Maryland nchini Marekani

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment