NEWS ALERT: MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE (TAA) AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI AKIFANYA MAZOEZI YA KUOGELEA

Marehemu Suleman Said wakati wa uhai wake  

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Suleiman Said amefariki akifanya mazoezi ya kuogelea 


Bwana  Suleiman alikuwa na utaratibu wa kuogelea kila siku asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake mbali mbali.Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika mapema 

Chanzo :fredynjeje.blogspot.co.uk
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment